Orodha ya Watakatifu Wakristo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Hapa chini wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili.

Orodha hii inaonyesha pia kila mtakatifu huheshimiwa katika madhehebu gani.

Kanisa Katoliki linaheshimu watakatifu na wenye heri zaidi ya elfu kumi, kati yao Mapapa 78.

Katika makanisa ya Kiorthodoksi na ya Waorthodoksi wa Mashariki idadi ni kubwa zaidi kwa vile hakuna kanuni za kutangaza watakatifu kama zile zinazofuatwa na Papa, ambaye amejiwekea mamlaka hiyo tangu Karne za Kati.

Waanglikana walimtangaza mtakatifu mmoja tu (Mfalme Charles I wa Uingereza), lakini wanawatambua watakatifu wengine waliotangazwa kuwa watakatifu kabla ya Matengenezo ya Kiprotestanti, kama wanavyofanya pia Wamethodisti.

Madhehebu hayo na mengineyo yana marehemu wengine ambao bila kutangazwa rasmi wameingizwa katika kalenda ya watakatifu.

Walutheri pia wana watakatifu katika kalenda zao.

Orodha[hariri | hariri chanzo]

A[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Abrahamu wa Aleksandria   Ndiyo    
Achile Kiwanuka       Ndiyo
Adalbert wa Magdeburg       Ndiyo
Adalbert wa Prague       Ndiyo
Adamu Abati       Ndiyo
Addai   Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Adelaide wa Italia       Ndiyo
Adelaide wa Vilich       Ndiyo
Papa Adeodatus I     Ndiyo Ndiyo
Adriano wa Nikomedia     Ndiyo Ndiyo
Papa Adriano III       Ndiyo
Papa Agapitus I     Ndiyo Ndiyo
Agatha mfiadini       Ndiyo
Agathius     Ndiyo Ndiyo
Papa Agatho     Ndiyo Ndiyo
Agnes wa Roma Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Agnes wa Asizi       Ndiyo
Agnes wa Praha       Ndiyo
Aidan wa Lindisfarne Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Albano Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Albano wa Mainz     Ndiyo Ndiyo
Alberiko       Ndiyo
Alberto Hurtado       Ndiyo
Alberto Mkuu       Ndiyo
Alda       Ndiyo
Aleksi Falconieri       Ndiyo
Papa Aleksanda I     Ndiyo Ndiyo
Aleksanda wa Aleksandria Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Aleksandra wa Hesse     Ndiyo  
Aleksi wa Urusi     Ndiyo  
Aleksi Toth     Ndiyo  
Alfege Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Alfonsa Matathupadathu       Ndiyo
Alfonso Maria wa Liguori       Ndiyo
Alfredi Mkuu Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Alkwino Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Alois Gonzaga       Ndiyo
Ambrosi Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Ana Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Papa Anacletus     Ndiyo Ndiyo
Anastasi wa Sinai       Ndiyo
Anastasia wa Urusi     Ndiyo  
Papa Anastasius I     Ndiyo Ndiyo
Mtume Andrea Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Andrea Dung-Lac       Ndiyo
Andrea wa Krete       Ndiyo
Andrei Rublev     Ndiyo  
Angela Merichi       Ndiyo
Papa Anicetus     Ndiyo Ndiyo
Anjela wa Foligno       Ndiyo
Anselm wa Canterbury Ndiyo     Ndiyo
Ansgar Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Papa Anterus     Ndiyo Ndiyo
Antoni Abati Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Antoni Maria Claret       Ndiyo
Antoni Maria Zakaria       Ndiyo
Antoni wa Mt. Ana       Ndiyo
Antoni wa Padua       Ndiyo
Antonino Natoli da Patti Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Arnold Janssen       Ndiyo
Apolinari wa Ravenna       Ndiyo
Atanasi wa Aleksandria Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Augustino wa Canterbury Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Augustino wa Hippo Ndiyo   Ndiyo Ndiyo

B[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Bakhita       Ndiyo
Barbara   Ndiyo Ndiyo Ndiyo1
Mtume Barnaba Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Mtume Bartolomayo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Basili Mkuu Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Basili wa Ostrog     Ndiyo  
Beda Mhashamu Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Papa Benedikto II     Ndiyo Ndiyo
Benedikto Mwafrika       Ndiyo
Benedikto wa Aniane     Ndiyo Ndiyo
Benedikto wa Nursia Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Benedikto Yosefu Labre       Ndiyo
Berardo mfiadini       Ndiyo
Bernadeta Soubirous       Ndiyo
Bernardino wa Siena       Ndiyo
Bernardo Tolomei       Ndiyo
Bernardo wa Clairvaux Ndiyo     Ndiyo
Bernardo wa Corleone       Ndiyo
Bernardo wa Menthon       Ndiyo
Birgita wa Sweden Ndiyo4     Ndiyo
Birinus Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Blaise Ndiyo     Ndiyo
Bonaventura wa Bagnoregio       Ndiyo
Papa Boniface I     Ndiyo Ndiyo
Papa Boniface IV     Ndiyo Ndiyo
Bonifas mfiadini Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Brendan Baharia     Ndiyo Ndiyo
Brigida wa Kildare Ndiyo4   Ndiyo Ndiyo
Bruno wa Cologne       Ndiyo
Bruno wa Querfurt     Ndiyo Ndiyo
Bruno wa Segni       Ndiyo

C[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Papa Caius     Ndiyo Ndiyo
Papa Callixtus I     Ndiyo Ndiyo
Papa Celestine I     Ndiyo Ndiyo
Papa Celestine V       Ndiyo
Chad wa Mercia Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Charbel Makhlouf       Ndiyo
Charles I wa Uingereza Ndiyo      
Christina Mtakatifu        
Christopher Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo1
Chrysanthus Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Columba Mtakatifu Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Columbanus Abati     Ndiyo Ndiyo
Papa Cornelius     Ndiyo Ndiyo
Cosmas Mtakatifu   Ndiyo Ndiyo  
Cunigunde wa Luxemburg       Ndiyo
Cuthbert wa Lindisfarne Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Cuthbert Mayne       Ndiyo
Cyril wa Thesalonike Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Cyril wa Aleksandria Ndiyo4 Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Cyril wa Jerusalem Ndiyo4 Ndiyo Ndiyo Ndiyo

D[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Dagobert II       Ndiyo
Papa Damasus I     Ndiyo Ndiyo
Damian de Veuster       Ndiyo
Daniel Comboni       Ndiyo
Danieli mfiadini       Ndiyo
Danilo II     Ndiyo  
Daria Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo1
Daudi wa Wales (Dewi) Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Declan Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Demetrius wa Aleksandria   Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Demetrius wa Thesalonike   Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Denis mfiadini Ndiyo4   Ndiyo Ndiyo
Deusdedit wa Canterbury Ndiyo     Ndiyo
Didier wa Cahors       Ndiyo
Diego wa Alkala       Ndiyo
Dimfna     Ndiyo Ndiyo
Papa Dionysius     Ndiyo Ndiyo
Dionysius Mwareopago   Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Dismas Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Dominiko Guzman Ndiyo     Ndiyo
Dominiko Loricatus       Ndiyo
Dominiko Savio       Ndiyo
Dorotheo wa Turo     Ndiyo Ndiyo
Mashahidi wa Douai       Ndiyo
Dunstan Mtakatifu Ndiyo   Ndiyo Ndiyo

E[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Edburga wa Bicester     Ndiyo Ndiyo
Edith Stein       Ndiyo
Editha Ndiyo;     Ndiyo
Edmund wa Anglia Mashariki Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Edward Muungamaji wa Uingereza Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Edward Shahidi Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Efrem wa Syria Ndiyo4 Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Egbert Mtakatifu Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Papa Eleuteri     Ndiyo Ndiyo
Eligius Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Elizabeth Ann Seton       Ndiyo
Elizabeti wa Hungaria Ndiyo     Ndiyo
Elizabeti wa Ureno       Ndiyo
Elizabeti wa Urusi     Ndiyo  
Emelia Mtakatifu     Ndiyo  
Emeric wa Hungaria       Ndiyo
Emma wa Ludger     Ndiyo Ndiyo
Emmeram wa Regensburg       Ndiyo
Engelbert wa Cologne       Ndiyo
Ermengol Mtakatifu       Ndiyo
Ethelbert wa Kent     Ndiyo Ndiyo
Ethelreda wa Ely Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Eukeri wa Lyon     Ndiyo Ndiyo
Papa Eugene I     Ndiyo Ndiyo
Eujeni Mazenod       Ndiyo
Papa Eusebius     Ndiyo Ndiyo
Eusebius wa Vercelli     Ndiyo Ndiyo
Eustokia Calafato       Ndiyo
Papa Eutychian     Ndiyo Ndiyo
Papa Evaristus     Ndiyo Ndiyo

F[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Papa Fabian Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Faustina Kowalska       Ndiyo
Felista Mtakatifu (mwenzi wa Perpetua Mtakatifu) Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Papa Felix I     Ndiyo Ndiyo
Papa Felix III     Ndiyo Ndiyo
Papa Felix IV     Ndiyo Ndiyo
Felix wa Cantalice       Ndiyo
Ferdinand III wa Kastilia       Ndiyo
Ferreol wa Uzès     Ndiyo Ndiyo
Fidelis wa Sigmaringen       Ndiyo
Filan Mtakatifu Ndiyo     Ndiyo
Mtume Filipo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Filipo Neri       Ndiyo
Filipo wa Agira     Ndiyo Ndiyo
Filomena Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Frances Cabrini       Ndiyo
Fransiska wa Roma       Ndiyo
Fransisko Antoni Fasani       Ndiyo
Fransisko Caracciolo       Ndiyo
Fransisko Maria wa Camporosso       Ndiyo
Fransisko Solano       Ndiyo
Fransisko wa Asizi Ndiyo     Ndiyo
Fransisko wa Paola       Ndiyo
Fransisko wa Sales Ndiyo     Ndiyo
Fransisko Xavier Ndiyo4     Ndiyo

G[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Gabrieli Malaika Mkuu   Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Gaetano wa Thiene       Ndiyo
Gall Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Gaudentius wa Ossero     Ndiyo Ndiyo
Papa Gelasius I     Ndiyo Ndiyo
Gemma Galgani       Ndiyo
Genesius Mtakatifu       Ndiyo
George mfiadini Ndiyo2 Ndiyo Ndiyo Ndiyo1
George Herbert Ndiyo      
Gertrudi wa Thuringia       Ndiyo
Godehard wa Hildesheim (Gotthard)     Ndiyo Ndiyo
Godric wa Finchale       Ndiyo
Gonsalo Garcia       Ndiyo
Gregori Grassi       Ndiyo
Papa Gregory I (Mkuu) Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Papa Gregory II     Ndiyo Ndiyo
Papa Gregory III     Ndiyo Ndiyo
Papa Gregory VII       Ndiyo
Gregori Mpambaji   Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Gregori Palamas     Ndiyo  
Gregori wa Narek   Ndiyo   Ndiyo
Gregori wa Nazienzi Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Gregori wa Nisa Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Gregori wa Spoleto     Ndiyo Ndiyo
Gregori wa Tours     Ndiyo Ndiyo
Grellan Mtakatifu       Ndiyo

H[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Hedwig wa Andechs       Ndiyo
Hallvard Mtakatifu       Ndiyo
Helena Mtakatifu (mama wa Konstantino Mkuu) Ndiyo4   Ndiyo Ndiyo
Helier Mtakatifu Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Henri, Mwindaji ndege       Ndiyo
Henri II Ndiyo     Ndiyo
Herman wa Alaska     Ndiyo  
Hilari wa Poitiers Ndiyo ?? Ndiyo Ndiyo
Papa Hilarius     Ndiyo Ndiyo
Hilarioni wa Gaza     Ndiyo Ndiyo
Hilda wa Whitby Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Hildegard wa Bingen Ndiyo     Ndiyo
Holos Mponyaji   Ndiyo    
Papa Hormisdas     Ndiyo Ndiyo
Hubertus Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Hugh wa Lincoln Ndiyo     Ndiyo
Hunfrid     Ndiyo Ndiyo
Papa Hyginus     Ndiyo Ndiyo

I[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Ida Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Ignas wa Antiokia Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Ignas wa Laconi       Ndiyo
Ignas wa Loyola Ndiyo4     Ndiyo
Papa Innocent I     Ndiyo Ndiyo
Inosenti wa Alaska     Ndiyo  
Ireneo wa Lyons Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Isaka wa Ninawi     Ndiyo  
Isidoro Mkulima     Ndiyo Ndiyo
Isidoro wa Sevila     Ndiyo Ndiyo

J[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Jadwiga wa Poland       Ndiyo
Januari mfiadini Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Jerome Mtakatifu Ndiyo4   Ndiyo Ndiyo
Jeromu Emiliani       Ndiyo
Joachim Mtakatifu Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Papa John I     Ndiyo Ndiyo
John Bosco       Ndiyo
John Fisher       Ndiyo
John Maron       Ndiyo
John Ogilvie       Ndiyo
John wa Shanghai na San Francisco     Ndiyo  
John wa Tobolsk     Ndiyo  
Josaphat Mtakatifu       Ndiyo1
Josemaría Escrivá       Ndiyo
Joseph Bilczewski       Ndiyo
Joseph Freinademetz       Ndiyo
Juan Diego       Ndiyo
Julian wa Norwich Ndiyo     Ndiyo
Juliana wa Nikomedia     Ndiyo Ndiyo
Julie Billiart       Ndiyo
Papa Julius I     Ndiyo Ndiyo
Justin mfiadini Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo

K[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Kamili wa Lellis       Ndiyo
Karoli Borromeo       Ndiyo
Karolo Lwanga       Ndiyo
Kasimir Mtakatifu       Ndiyo
Katerina wa Aleksandria Ndiyo4   Ndiyo Ndiyo1
Katerina wa Bologna Ndiyo     Ndiyo
Katerina wa Siena Ndiyo     Ndiyo
Katharine Drexel       Ndiyo
Kevin wa Glendalough Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Kiriako mkaapweke     Ndiyo  
Klara wa Asizi Ndiyo     Ndiyo
Papa Klementi I Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Koleta Boylet       Ndiyo
Konrad wa Parzham       Ndiyo
Konstantino Mkuu   Ndiyo Ndiyo  
Konstantino wa Murom     Ndiyo  

L[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Ladislaus wa Hungaria       Ndiyo
Laurenti Mfiadini Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Laurenti wa Brindisi       Ndiyo
Lazaro wa Bethania Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Lazaro wa Serbia     Ndiyo  
Leen Wa Baardghi Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Papa Leo I Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Papa Leo II     Ndiyo Ndiyo
Papa Leo III     Ndiyo Ndiyo
Papa Leo IV     Ndiyo Ndiyo
Papa Leo IX       Ndiyo
Leodegar wa Autun     Ndiyo Ndiyo
Leonardo wa Portomaurizio       Ndiyo
Papa Linus     Ndiyo Ndiyo
Lorcán Ua Tuathail       Ndiyo
Lorenzo Ruiz       Ndiyo
Papa Lucius I     Ndiyo Ndiyo
Ludoviko askofu       Ndiyo
Luis IX wa Ufaransa       Ndiyo
Luka mwinjili Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Lupus of Sens       Ndiyo
Lusia wa Sirakusa Ndiyo   Ndiyo Ndiyo

M[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Makrina Mdogo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Makrina Mkubwa Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Papa Marcellinus     Ndiyo Ndiyo
Papa Marcellus I     Ndiyo Ndiyo
Marcouf       Ndiyo
Margareta wa Antiokia Ndiyo4     Ndiyo1
Margaret Clitherow       Ndiyo
Margareta Maria Alacoque       Ndiyo
Margareta wa Hungaria Ndiyo     Ndiyo
Margareta wa Uskoti Ndiyo     Ndiyo
Margerita wa Cortona Ndiyo     Ndiyo
Marguerite D'Youville       Ndiyo
Bikira Maria Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Maria Ana wa Yesu       Ndiyo
Maria Goretti       Ndiyo
Maria Magdalena Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Maria Magdalena wa Pazzi       Ndiyo
Maria Nikolaevna     Ndiyo  
Maria wa Bethania Ndiyo   Ndiyo  
Maria wa Misri Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Papa Marko     Ndiyo Ndiyo
Marko [[Mwinjili]] Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Marko wa Efeso     Ndiyo  
Marselino Champagnat       Ndiyo
Marselino mfiadini Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Martha wa Bethania Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Papa Martin I     Ndiyo Ndiyo
Martin wa Tours Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Martin de Porres       Ndiyo
Mtume Mathayo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Mathayo I wa Aleksandria   Ndiyo    
Mtume Mathia Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Maurice Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Maximillian Kolbe Ndiyo     Ndiyo
Mesrop Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Methodi wa Thesalonike Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Mikaeli Malaika Mkuu Ndiyo3 Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Papa Miltiades     Ndiyo Ndiyo
Monika (mama wa Agostino wa Hippo) Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Moses Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo

N[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Neot Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Nerei mfiadini     Ndiyo Ndiyo
Papa Nikola I     Ndiyo Ndiyo
Nikola II wa Urusi     Ndiyo  
Nikola Pieck       Ndiyo
Nikola Tavelic       Ndiyo
Nikola wa Mira Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Nikolai wa Japan     Ndiyo  
Nikolai Velimirovic     Ndiyo  
Nil Sorsky     Ndiyo  
Nimattullah Kassab Al-Hardini       Ndiyo
Ninian Mtakatifu Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Nino wa Georgia     Ndiyo Ndiyo
Niseforo wa Konstantinopoli     Ndiyo Ndiyo
Norbert wa Xantes       Ndiyo
Nothelm wa Canterbury Ndiyo   Ndiyo Ndiyo

O[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Odilo wa Alsasya     Ndiyo Ndiyo
Odo wa Cluny     Ndiyo Ndiyo
Olaf II Haraldsson       Ndiyo
Olga Nikolaevna     Ndiyo  
Onufri Mkaapweke     Ndiyo Ndiyo
Oswald wa Northumbria Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Osyth     Ndiyo Ndiyo
Ouen wa Rouen (Dado)     Ndiyo Ndiyo

P[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Pakomi Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Pankras mfiadini     Ndiyo Ndiyo
Pantaleo(Panteleimon) Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Papa Paschal I     Ndiyo Ndiyo
Paskali Baylon       Ndiyo
Patrick wa Ireland Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Papa Paul I     Ndiyo Ndiyo
Paulino wa Nola     Ndiyo Ndiyo
Paulino wa York Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Mtume Paulo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Paulo wa Msalaba       Ndiyo
Paulo Miki       Ndiyo
Pavel wa Taganrog     Ndiyo  
Perpetua Mtakatifu na wenzake Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Mtume Petro Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Petro Baptista       Ndiyo
Petro Canisius       Ndiyo
Peter Chanel       Ndiyo
Petro Claver       Ndiyo
Petro Damiani       Ndiyo
Petro Juliani Eymard       Ndiyo
Petro Krisologo       Ndiyo
Petro Mwaleuti     Ndiyo  
Petro wa Aleksandria   Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Petro wa Alkantara       Ndiyo
Petro wa Sebaste     Ndiyo  
Petros Mtakatifu Ndiyo      
Photius     Ndiyo  
Pierre Borie       Ndiyo
Pio wa Pietrelcina       Ndiyo
Piran Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Papa Pius V       Ndiyo
Papa Pius X       Ndiyo
Polikarpo Mtakatifu Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Papa Pontian     Ndiyo Ndiyo
Pontio Pilato   Ndiyo5    
Porfiri wa Gaza     Ndiyo  

R[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Rafaeli Malaika Mkuu   Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Rafqa Pietra Choboq Ar-Rayès       Ndiyo
Raimundi wa Penyafort       Ndiyo
Raphael wa Brooklyn     Ndiyo  
Remigius wa Reims     Ndiyo Ndiyo
Remigius wa Rouen       Ndiyo
Richard wa Chichester Ndiyo     Ndiyo
Romedius Mtakatifu       Ndiyo
Romualdo Abati     Ndiyo Ndiyo
Rosa wa Lima       Ndiyo
Rosalia Bikira       Ndiyo

S[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Sava wa Serbia     Ndiyo  
Sebastiani mfiadini Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Serafina Mtakatifu (Fina)     Ndiyo  
Serafino wa Montegranaro       Ndiyo
Serafino wa Sarov     Ndiyo  
Sergius Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Papa Sergius I     Ndiyo Ndiyo
Servatius Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Sesilia mfiadini Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Papa Silverius     Ndiyo Ndiyo
Papa Silvester I     Ndiyo Ndiyo
Papa Simako     Ndiyo Ndiyo
Simeoni Metafraste     Ndiyo  
Simeoni Mirotocivi     Ndiyo  
Simeoni Mwanateolojia Mpya     Ndiyo  
Simeoni Mwenye Haki   Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Simeoni wa Mnarani     Ndiyo Ndiyo
Simoni Mtakatifu Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Papa Simplicius     Ndiyo Ndiyo
Sipriani mfiadini Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Papa Siricius     Ndiyo Ndiyo
Papa Sisto I     Ndiyo Ndiyo
Papa Sisto II     Ndiyo Ndiyo
Papa Sisto III     Ndiyo Ndiyo
Skolastika wa Nursia     Ndiyo Ndiyo
Papa Soter     Ndiyo Ndiyo
Spiridoni wa Trimythous     Ndiyo Ndiyo
Stanislaus mfiadini       Ndiyo
Stefano Mfiadini Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Papa Stefano I     Ndiyo Ndiyo
Stefano wa Piperi     Ndiyo  
Stefano wa Hungaria     Ndiyo Ndiyo
Susana Mtakatifu   Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Swithun wa Winchester Ndiyo   Ndiyo Ndiyo

T[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Tarasius Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Tasyana wa Urusi     Ndiyo  
Tekla wa Ikonio   Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Tekle Haymanot   Ndiyo Ndiyo  
Papa Telesphorus     Ndiyo Ndiyo
Teresa wa Yesu (wa Avila) Ndiyo     Ndiyo
Teresa wa Mtoto Yesu (wa Lisieux)       Ndiyo
Theodoro wa Amasea   Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Theodoro wa Studion     Ndiyo  
Theodosi wa Kiev     Ndiyo  
Theofani mkaapweke     Ndiyo  
Mtume Thoma Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Thomas Aquinas Ndiyo     Ndiyo
Thomas Becket Ndiyo     Ndiyo
Thomas More Ndiyo4     Ndiyo
Tikhon wa Moscow     Ndiyo  
Tikhon wa Zadonsk     Ndiyo  
Timotheo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Tito Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Turibio wa Mongrovejo       Ndiyo
Tudful Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo

U[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Ulrich wa Augsburg     Ndiyo Ndiyo
Papa Urban I     Ndiyo Ndiyo
Ursula Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo

V[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Veronika Giuliani       Ndiyo
Papa Victor I     Ndiyo Ndiyo
Vincent de Paul Ndiyo     Ndiyo
Vincent Ferrer       Ndiyo
Vincent shemasi Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Vincent wa Lerins     Ndiyo Ndiyo
Papa Vitalian     Ndiyo Ndiyo
Vitus Mtakatifu   Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Vladimir wa Kiev     Ndiyo Ndiyo

W[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Wenseslaus mfiadini       Ndiyo
Werburgh Mtakatifu     Ndiyo Ndiyo
Wilfrid wa Ripon Ndiyo   Ndiyo Ndiyo
Willibrord Mtakatifu Ndiyo   Ndiyo  
Wolfeius Mkaapweke Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Wolfgang Mtakatifu ?? ?? Ndiyo Ndiyo;

Y[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Yakobo Mdogo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Yakobo Mkubwa Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Yakobo wa Marka       Ndiyo
Yoana Fransiska wa Chantal       Ndiyo
Yoana wa Arc       Ndiyo
Yohane Mbatizaji Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Mtume Yohane Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Yohane Baptista de La Salle       Ndiyo
Yohane Bunyan Ndiyo      
Yohane Climacus     Ndiyo Ndiyo
Yohane Jones       Ndiyo
Yohane Kasiano Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Yohane Krisostomu Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Yohane Leonardi       Ndiyo
Yohane Maria Vianney       Ndiyo
Yohane wa Damasko Ndiyo4 Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Yohane wa Kapestrano       Ndiyo
Yohane wa Kety       Ndiyo
Yohane wa Matha       Ndiyo
Yohane wa Msalaba Ndiyo     Ndiyo
Yohane wa Mungu       Ndiyo
Yohane wa Nepomuk       Ndiyo
Yohane Wall       Ndiyo
Yosefu (mume wa Maria) Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo
Yosefu Pignatelli       Ndiyo
Yosefu wa Copertino       Ndiyo
Yosefu wa Leonessa       Ndiyo
Mtume Yuda Tadei Ndiyo   Ndiyo Ndiyo

Z[hariri | hariri chanzo]

Mtakatifu Waanglikana Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki
Papa Zakaria     Ndiyo Ndiyo
Papa Zephyrinus     Ndiyo Ndiyo
Papa Zosimus     Ndiyo Ndiyo

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

1 Mtakatifu huyu ameondolewa kutoka katika orodha ya Watakatifu wa Kanisa Katoliki kwa sababu ya mashaka ya kihistoria. Si kusema hakuishi, ila anaendelea kutambuliwa kama mtakatifu ingawa hayupo kwenye orodha rasmi.
2 George Mtakatifu ametajwa katika Kitabu cha Sala ya Kawaida (kwa Kiingereza Book of Common Prayer) mwaka wa 1662, na pia katika Kitabu cha Ibada ya Kawaida (kwa Kiingereza Common Worship) mwaka wa 2000. Hata hivyo, makanisa mengine ya Kianglikana hawamtambui kama mtakatifu.
3 Sikukuu ya Kianglikana huitwa “Michael na Malaika Wote” (kwa Kiingereza Michael and All Angels).
4 Kitabu cha Ibada ya Kawaida (Common Worship) kinamtaja mtakatifu huyu chini ya “Kumbukumbu” (kwa Kiingereza Commemoration).
5 Mtakatifu huyu hutambuliwa katika Kanisa la Tewahedo tu, ambalo ni tawi la Kanisa la Kiorthodoksi la Uhabeshi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1989
  • M. SOSELEJE, Kalendari yetu – Maisha ya Watakatifu – Toleo la pili – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1986 – ISBN 9976-63-112-X

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]