Maria Bertila Boscardin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maria Bertila Boscardin (Brendola, 6 Oktoba 1888Treviso, 20 Oktoba 1922) alikuwa bikira wa Italia kaskazini ambaye, kisha kujiunga na shirika la kitawa, alihudumia wagonjwa kwa upendo wa ajabu.

Alitangazwa Mwenye heri na Papa Pius XII tarehe 8 Juni 1952, halafu mtakatifu na Papa Yohane XXIII tarehe 11 Mei 1961.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-14-051312-4.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.