1888
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| ►
◄◄ |
◄ |
1884 |
1885 |
1886 |
1887 |
1888
| 1889
| 1890
| 1891
| 1892
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1888 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
- 17 Februari - Otto Stern (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1943)
- 5 Julai - Herbert Spencer Gasser (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944)
- 16 Julai - Frits Zernike (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1953)
- 17 Julai - Shmuel Yosef Agnon (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1966)
- 22 Julai - Selman Waksman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1952)
- 16 Septemba - Frans Eemil Sillanpää (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1939)
- 26 Septemba - T. S. Eliot (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1948)
- 7 Oktoba - Henry Wallace, Kaimu Rais wa Marekani
- 16 Oktoba - Eugene O'Neill (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1936)
- 7 Novemba - Chandrasekhara Raman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1930)
- 15 Desemba - Maxwell Anderson, mwandishi kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 31 Januari - John Bosco, padre mtakatifu kutoka Italia
- 9 Machi - Kaisari Wilhelm I, mfalme wa Prussia na Kaisari wa Ujerumani
- 29 Machi - Charles-Valentin Alkan, mtunzi wa muziki kutoka Ufaransa
