1948
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| ►
◄◄ |
◄ |
1944 |
1945 |
1946 |
1947 |
1948
| 1949
| 1950
| 1951
| 1952
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1948 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 30 Januari - Mahatma Gandhi anauawa na Mhindu mkali anayechukia jitihada za Ghandi za kutunza umoja wa Uhindi na haki kwa ajili ya Waislamu Wahindi.
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
Kalenda ya Gregori | 2023 MMXXIII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5783 – 5784 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2776 |
Kalenda ya Ethiopia | 2015 – 2016 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1472 ԹՎ ՌՆՀԲ |
Kalenda ya Kiislamu | 1445 – 1446 |
Kalenda ya Kiajemi | 1401 – 1402 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2078 – 2079 |
- Shaka Samvat | 1945 – 1946 |
- Kali Yuga | 5124 – 5125 |
Kalenda ya Kichina | 4719 – 4720 壬寅 – 癸卯 |
- 7 Januari - Ichiro Mizuki, mwanamuziki kutoka Japani
- 14 Januari - Carl Weathers, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 15 Februari - Tino Insana, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 28 Februari - Steven Chu, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1997 na Waziri wa Nishati wa Marekani (tangu 2009)
- 11 Machi - Franz Lambert, mwanamuziki wa Ujerumani
- 20 Machi - John de Lancie, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 30 Machi - Method Kilaini, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 31 Machi - Al Gore, Kaimu Rais wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani (2007)
- 1 Aprili - Jimmy Cliff, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 15 Mei - Brian Eno, mwanamuziki wa Uingereza
- 31 Mei - Svetlana Alexievich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2015
- 12 Julai - Richard Simmons, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 18 Julai - Hartmut Michel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1988
- 3 Septemba - Levy Mwanawasa, Rais wa tatu wa Zambia (2001-2008)
- 29 Septemba - Theo Jörgensmann, mwanamuziki kutoka Ujerumani
- 10 Oktoba - Benedict Kiroya Losurutia, mwanasiasa wa Tanzania
- 24 Oktoba - Mike Laizer, mwanasiasa wa Tanzania
- 25 Oktoba - Agapiti Ndorobo, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 28 Oktoba - Telma Hopkins, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1 Novemba - Amani Abeid Karume, Rais wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar tangu mwaka wa 2000
- 5 Novemba - William Phillips, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1997
- 11 Novemba - Vincent Schiavelli, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 26 Novemba - Elizabeth Blackburn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2009
- 28 Novemba - Mgana Izumbe Msindai, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 15 Desemba - Cassandra Harris, mwigizaji filamu kutoka Australia
- 30 Desemba - Randy Schekman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2013
bila tarehe
- Penina Muhando, mwandishi Mtanzania
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 30 Januari - Mahatma Gandhi, mwanasheria, mwanafalsafa na kiongozi wa kisiasa nchini Uhindi
- 15 Julai - John J. Pershing, jenerali kutoka Marekani
- 27 Julai – Susan Glaspell, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1931
- 24 Oktoba - Frederic L. Paxson, mwanahistoria kutoka Marekani
Wikimedia Commons ina media kuhusu: