Agapiti Ndorobo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Agapiti Ndorobo (amezaliwa 14 Agosti 1954) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka wa 1995. Tangu mwaka huo, ni askofu wa Jimbo la Mahenge.

Kwa asili, Askofu Ndorobo ni Mrangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Agapiti Ndorobo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.