Nenda kwa yaliyomo

Hartmut Michel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hartmut Michel mwaka 2013

Hartmut Michel (amezaliwa 18 Julai 1948 ) ni mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza ugandishaji wa protini. Mwaka wa 1988, pamoja na Johann Deisenhofer na Robert Huber alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hartmut Michel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.