Wikipedia:Jumuia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
  • sw: Ukurasa huu ni kwa ajili ya kuwasaidia watu wanaotaka kuboresha kamusi hii na kujadiliana mambo ya jumuiya yetu!

Viungo vya jumuia:

Wikipedia:Sanduku la mchanga Wikipedia:Wakabidhi Wikipedia:Makala kwa ufutaji Wikipedia:Makala zinazohifadhiwa Makala zinazotembelewa sana leo hii
Wikipedia:Ubalozi Wikipedia:Bots Wikipedia:Jumuia/Daruser‎ Wikipedia:Makala zilizoombwa Angalia michango ya watumiaji
  • en: Welcome to the Swahili Wikipedia village pump!

Kumbukumbu ya miaka iliyopita

Majadiliano ya awali yamehamishiwa hapa:

Jenga Wikipedia ya Kiswahili

Kwa wote wanaopenda kutafakari na kujadiliana nasi namna ya kuendeleza wikipedia hii ya Kiswahili wakabidhi walianzisha kundi la meta:Jenga Wikipedia ya Kiswahili. Unaweza kujiandikisha pale kama umehariri hapa kwa muda wa mwaka moja angalau.

Editing News #1—2018

20:56, 2 Machi 2018 (UTC)

Galicia 15 - 15 Challenge

Mapa de Galiza con bandeira.svg

Wikipedia:Galicia 15 - 15 Challenge is a public writing competition which will improve improve and translate this list of 15 really important articles into as many languages as possible. Everybody can help in any language to collaborate on writing and/or translating articles related to Galicia. To participate you just need to sign up here. Thank you very much.--Breogan2008 (majadiliano) 14:37, 12 Machi 2018 (UTC)

40,000

Kwa neema ya Mwenyezi Mungu tumefikia kiwango hicho. Naomba mafundi wetu bora wabandike lebo ya dhahabu. Amani kwenu na tusonge mbele! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:57, 17 Machi 2018 (UTC)

Hongera, Padre Riccardo! Sina ujuzi kuhuzu lebo ya dhahabu, lakini nimeandika kuhusu hatua hiyo ukurasani mwa Matukio ya hivi karibuni. Sherehe na furaha na fahari! --Baba Tabita (majadiliano) 09:58, 17 Machi 2018 (UTC)
Nafurahi sana! Hongera Riccardo, pole na kupanda milima mingi. Kipala (majadiliano) 14:19, 17 Machi 2018 (UTC)

Time to bring embedded maps (‘mapframe’) to most Wikipedias

CKoerner (WMF) (talk) 21:38, 24 Aprili 2018 (UTC)

AdvancedSearch

Birgit Müller (WMDE) 14:53, 7 Mei 2018 (UTC)

New Wikipedia Library Accounts Available Now (May 2018)


Hello Wikimedians!

The TWL OWL says sign up today!

The Wikipedia Library is announcing signups today for free, full-access, accounts to research and tools as part of our Publisher Donation Program. You can sign up for new accounts and research materials on the Library Card platform:

  • Rock's Backpages – Music articles and interviews from the 1950s onwards - 50 accounts
  • Invaluable – Database of more than 50 million auctions and over 500,000 artists - 15 accounts
  • Termsoup – Translation tool

Expansions

Many other partnerships with accounts available are listed on our partners page, including Baylor University Press, Loeb Classical Library, Cairn, Gale and Bloomsbury.

Do better research and help expand the use of high quality references across Wikipedia projects: sign up today!
--The Wikipedia Library Team 18:03, 30 Mei 2018 (UTC)

You can host and coordinate signups for a Wikipedia Library branch in your own language. Please contact Ocaasi (WMF).
This message was delivered via the Global Mass Message tool to The Wikipedia Library Global Delivery List.

Update on page issues on mobile web

CKoerner (WMF) (talk) 20:58, 12 Juni 2018 (UTC)

Tidy to RemexHtml

m:User:Elitre (WMF) 14:38, 2 Julai 2018 (UTC)

Global preferences are available

19:20, 10 Julai 2018 (UTC)

44,000 !!

Kumbe leo hii Riccardo ametufikisha kwa makala 44,000 !! Asante na hongera Ndugu! Kipala (majadiliano) 12:43, 30 Julai 2018 (UTC)

New user group for editing sitewide CSS / JS

Enabling a helpful feature for Template editors

CKoerner (WMF) (talk) 21:28, 6 Agosti 2018 (UTC)

Tanzanian week in Ukrainian wiki

Hi everyone! Sorry for writing here in English. My name is Vasyl and I am an editor of ukrainian wikipedia. We're going to spend at least two weeks writing articles about Tanzania (August 13-26). If you know that some article might be interesting or important to know for ukrainian readers - leave your suggestions here. We'll be thankfull for that.

Would be greate if your suggestion have english or russian version. If you want - you can write some articles about Ukraine - we had such type of cooperation with estonian, macedonian, armenian, yakut, urdu and bellorussian wiki.

With best regards! Шиманський Василь (majadiliano) 06:22, 7 Agosti 2018 (UTC)

Thank you for being interested in our country. Of course, there are a lot of articles both in Swahili and English Wikipedia. We propose to use them, starting with our geography (so special: islands, mountains, lakes, rivers, parks etc.) and history (archaeology, struggles against colonialism, Julius Nyerere and other political personality) without forgetting our biological diversity (human tribes, animals, vegetation etc.). I think you will enjoy in knowing more about us. May the Lord give you his peace! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:33, 7 Agosti 2018 (UTC)

Warsha kuhusu makala zetu za astronomia kwenye Septemba 2018

Salaam tuna mradi wa pekee katika wikipedia yetu ya Kiswahili. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Taasisi ya Taaluma ya Kiswahili) kilituoma tuandae muswada ya kamusi ya astronomia ambayo wanataka kuchapisha kama kitabu. Hadi sasa makala zetu ni mkusanyo wa pekee wa matini kuhusu astronomia kwa Kiswahili. (Tazama:) Makala hizi ambazo ni takriban 300 zitafanya matini ya kamusi inayolengwa. Nimepeleka pendekezo kwa MetaWiki kutupatia pesa ili tuweze kufanya warsha ya uhariri. Warsha hii itaunganisha wanawikipedia na wanachama wa ASSAT (Astronomy and Space Science Association of Tanzania) wanaopitia sasa makala hizi. Warsha inalenga kujadili masahihisho na mapendekzo, kuingiza mabadiliko haya katika wikipedia na kuandaa muswada kwa ajili ya chuo.

Nitafurahi kama wanawikipedia wanaaangalia na kuunga mkono pendekezo lifuatalo: https://meta.wikimedia.org/wiki/Grants:Project/Rapid/Swwiki_workshop_astronomia#Project_Goal. Kunasehemu ambako unaweza kubofya "endorse". Kipala (majadiliano) 07:21, 8 Agosti 2018 (UTC)