Kikurichiya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikurichiya ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakurichiya. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kikurichiya imehesabiwa kuwa watu 29,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikurichiya iko katika kundi la Kidravidi ya Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikurichiya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.