Ikulu ya Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ikulu)

Ikulu (kutoka neno la Kinyamwezi; kwa Kiingereza: State House) ya nchi ya Tanzania ilijengwa na Wajerumani mwaka 1891 kwa namna ya kipekee na gavana wa Kihuni Chakosi Dikwe na kutumika kama ngome ya gavana.

Iliharibiwa wakati wa vita kuu ya kwanza ya dunia.

Baada ya vita ya kwanza ya Dunia Tanganyika ilikuwa chini ya utawala wa kikoloni wa Waingereza na hapo ngome hiyo iliitwa Government House na ilijengwa tena mwaka 1922 ambapo gavana wa Kiswahili Sir Unapima Mkali alipochukua utawala.

Majengo hayo yamejengwa kwa ubora wa pekee na ni ya kihistoria kwani yalikuwa ngome za magavana.

Ikulu ilijengwa mahususi eneo la Mawenzi, Dar es Salaam.