Utawala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Utawala (kutoka neno la Kiarabu) ni mamlaka na haki ya kuongoza. Ni jambo lisiloepukika katika maisha ya pamoja ya binadamu.

Utawala umejitokeza kwa namna nyingi katika ngazi mbalimbali katika historia ya dunia.

Kwa mfano, utawala unaweza kuwa wa kisiasa juu ya nchi au kabila katika jamii husika.

Katika dini[hariri | hariri chanzo]

Wengi wanakubali kwamba utawala ni hasa sifa ya Mungu katika maongozi yake ya ulimwengu aliouumba.

Katika Biblia ni hasa Yohane Mbatizaji na Yesu waliotangaza ujio wa utawala wa Mungu kama kiini cha ujumbe wao.