Ujumbe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ujumbe wa siri, mchoro wa Carl von Bergen.

Ujumbe ni mafunzo yanayopatikana baada ya kusoma, kusikiliza au kupitia kazi fulani ya kifasihi usanii: ujumbe unapatikana kupitia dhamira husika katika kazi hiyo.

Ujumbe unaweza kutolewa kwa njia mbalimbali kati ya mtu na mtu, lakini pia kwa umati, hasa siku hizi kupitia vyombo vya mawasiliano ya kijamii.

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ujumbe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.