Kinyamwezi
Mandhari
Kinyamwezi ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanyamwezi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinyamwezi imehesabiwa kuwa watu 980,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyamwezi iko katika kundi la F20. Inafanana na Kisukuma.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinyamwezi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyamwezi
- lugha ya Kinyamwezi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nym
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.stolaf.edu/people/mbele/bibliography.htm
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kinyamwezi)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Maganga, Clement; Schadeberg, Thilo C. 1992. Kinyamwezi: grammar, texts, vocabulary. (East African languages and dialects, vol 1.) Köln: Rüdiger Köppe Verlag. Kurasa 325. [ISBN 3-927620-40-8]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyamwezi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |