Wizara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wizara ni sehemu ya serikali inayoshughulikia sehemu maalumu ya utawala wa nchi ikiongozwa na waziri.[1]. Kila nchi ina idadi na majina tofauti ya wizara zake.

Mifano[hariri | hariri chanzo]

Kenya[hariri | hariri chanzo]

Wizara huwa na idara tofauti ambazo huongozwa na katibu mkuu. Wizara ya Ulinzi na ya Mambo ya Ndani na Uratibu wa Kitaifa ziko chini ya Ofisi ya Rais wa Kenya[2].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Wizara[dead link]", Kamusi ya Oxford
  2. "Uhuru unveils govt structure of 18 ministries", Huduma ya Utangazaji wa Urais, ilipatikana 21-03-2018