Nenda kwa yaliyomo

Meya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Meya (kutoka neno la Kiingereza "Mayor") katika taratibu za nchi nyingi duniani, ndiye kiongozi wa juu kabisa katika manispaa, mji au jiji.

Majukumu yake yanategemea ukubwa wa eneo lake, idadi ya wakazi, sheria n.k.