Jiji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Rio de Janeiro ni jiji maarufu kwa uzuri wake lakini sehemu ya wakazi wake hukalia mitaa ya vibanda.

Jiji ni mji mkubwa. Kuna tofauti kati ya nchi na nchi ni sifa gani pamoja na ukubwa gani zinazofanya mji kuwa mji mkubwa au jiji.

Majiji ya Afrika ya Mashariki[hariri | hariri chanzo]

Nchini Tanzania ni Dar es Salaam pamoja na Arusha, Mbeya, Mwanza na Tanga, inayoitwa "jiji"; nchini Kenya ni Nairobi pamoja na Mombasa na Kisumu. Kati ya hii ni Nairobi na Dar es Salaam pekee yenye wakazi zaidi ya milioni moja.

Addis Ababa, Ethiopia.

[1]

Mji mkubwa kwa kanuni za takwimu[hariri | hariri chanzo]

Kimataifa kulikuwa na makubaliano kwenye mkutano wa kimataifa ya takwimu ya mwaka 1887 ya kuhesabu kila mji mwenye wakazi zaidi ya 100,000 kama "mji mkubwa", miji kati ya wakazi 20,000 na 100,000 kama miji ya wastani na miji kati ya wakazi 5,000 na 20,000 kama miji midogo. Kufuatana na hesabu hii kulikuwa na miji mikubwa 1,700 duniani wakati wa mwaka 2002.

Majiji makubwa ya Africa[hariri | hariri chanzo]