Dodoma
Jump to navigation
Jump to search
Dodoma ni jina la
- Mji wa Dodoma ambao ni Mji Mkuu wa Tanzania
- Mkoa wa Dodoma
- na Wilaya ya Dodoma (mjini na kijijini).
- Pia ni makao makuu ya chama tawala Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).