1887
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| ►
◄◄ |
◄ |
1883 |
1884 |
1885 |
1886 |
1887
| 1888
| 1889
| 1890
| 1891
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1887 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 24 Januari - Waethiopia wanawashinda Waitalia katika mapigano ya Dogali.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
- 16 Januari - George Kelly, mwandishi kutoka Marekani
- 4 Februari - Iyasu V wa Uhabeshi
- 10 Aprili - Bernardo Houssay (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1947)
- 25 Mei - Mtakatifu Pio wa Pietrelcina, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 26 Mei - Leonard Bacon, mshairi kutoka Marekani
- 31 Mei - Saint-John Perse (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1960)
- 22 Juni - Julian Huxley (mwanabiolojia, na mkurugenzi wa kwanza wa UNESCO)
- 9 Julai – Samuel Eliot Morison (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1943)
- 22 Julai - Gustav Hertz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1925)
- 12 Agosti - Erwin Schrodinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1933
- 13 Septemba - Leopold Ruzicka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1939
- 6 Oktoba - Le Corbusier, msanifu majengo kutoka Ufaransa
- 15 Novemba - Marianne Moore, mashairi kutoka Marekani
- 19 Novemba - James Sumner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946)
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 27 Februari - Alexander Borodin (mtungaji wa muziki Mrusi)
- 4 Juni - William Wheeler, Kaimu Rais wa Marekani (1877-1881)
- 17 Juni - Hugo Birger, mchoraji wa Uswidi
