4 Juni
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Juni ni siku ya 155 ya mwaka (ya 156 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 210.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1655 - Mtakatifu Thomas wa Cori, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1877 - Heinrich Otto Wieland, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1927
- 1882 - John Bauer, mchoraji kutoka Uswidi
- 1916 - Robert Furchgott, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1998
- 1971 - Joseph Kabila, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 1975 - Angelina Jolie, muigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1608 - Mtakatifu Fransisko Caracciolo, padri mwanzilishi kutoka Italia
- 1830 - Antonio José de Sucre, Rais wa Peru (1823) na Rais wa Bolivia (1825-1828), aliuawa
- 1876 - Abdulaziz I, Sultani wa Milki ya Osmani (1861-1876)
- 1887 - William Wheeler, Kaimu Rais wa Marekani (1877-1881)
- 1918 - Charles Fairbanks, Kaimu Rais wa Marekani
- 1966 - Chang Myon, mwanasiasa kutoka Korea Kusini
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kwirino wa Siszeck, Metrofane wa Bizanti, Optatus wa Milevi, Fransisko Caracciolo, Filipo Smaldone n.k.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |