1 Juni
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Juni ni siku ya 152 ya mwaka (ya 153 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 213.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1801 - Brigham Young, kiongozi wa Umormoni
- 1804 - Mikhail Glinka, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1917 - William Knowles, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2001
- 1926 - Marilyn Monroe, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1937 - Morgan Freeman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1955 - Chiyonofuji Mitsugu, mwanamwereka wa Japani
- 1957 - Yasuhiro Yamashita, mshindani wa Judo kutoka Japani
- 1977 - Sarah Wayne Callies, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 193 - Didius Julianus, Kaisari wa Dola la Roma
- 1841 - Nicolas Appert, mvumbuzi Mfaransa
- 1846 - Papa Gregori XVI
- 1868 - James Buchanan, Rais wa Marekani (1857-1861)
- 1925 - Thomas Marshall, Kaimu Rais wa Marekani
- 1968 - Helen Keller, mwandishi asiyeona wala kusikia kutoka nchini Marekani
- 1968 - Charles Howard McIlwain, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1979 - Werner Forssmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Yustino mfiadini
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |