Morgan Freeman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Morgan Freeman
Morgan Freeman, mnamo 2018.
Morgan Freeman, mnamo 2018.
Jina la kuzaliwa Morgan Porterfield Freeman Jr.
Alizaliwa 1 Juni 1937, Memphis, Tennessee, Marekani
Kazi yake Mwigizaji, Mowngozaji, Mtunzi
Miaka ya kazi 1964-hadi leo
Ndoa Jeanette Adair Bradshaw (1967-1979)

Myrna Colley-Lee (1984-2010)

Watoto 4

Morgan Freeman (amezaliwa 1 Juni 1937) ni mshindi wa tuzo ya Oscars (Academy Award) kama mwigizaji, mwongozaji na mtunzi bora wa filamu. Morgan alikuja kufahamika zaidi kuanzia miaka ya 1990, baada ya kuonekana katika mfululizo wa filamu zenye mafanikio huko Hollywood.

Filamu alizoigiza Morgan[hariri | hariri chanzo]

 1. The Electric Company
 2. Roll of Thunder, Hear My Cry
 3. Brubaker
 4. The Marva Collins Story
 5. Teachers
 6. Marie
 7. That Was Then... This Is Now
 8. Street Smart
 9. Fight for Life
 10. Glory
 11. Driving Miss Daisy
 12. Lean on Me
 13. The Bonfire of the Vanities
 14. Robin Hood: Prince of Thieves
 15. Unforgiven
 16. The Power of One
 17. Bopha, mwongozaji tu.
 18. The Shawshank Redemption
 19. Se7en
 20. Outbreak
 21. Chain Reaction
 22. Moll Flanders
 23. Amistad
 24. Kiss the Girls
 25. Deep Impact
 26. Hard Rain
 27. Nurse Betty
 28. Under Suspicion
 29. Along Came a Spider
 30. The Sum of All Fears
 31. High Crimes
 32. Bruce Almighty
 33. Dreamcatcher
 34. Million Dollar Baby
 35. The Hunting of the President
 36. The Big Bounce
 37. An Unfinished Life
 38. War of the Worlds
 39. March of the Penguins
 40. Batman Begins
 41. Danny the Dog
 42. Edison Force
 43. The Contract
 44. Lucky Number Slevin
 45. 10 Items or Less
 46. Evan Almighty
 47. The Feast of Love
 48. Gone, Baby, Gone
 49. The Bucket List
 50. Wanted
 51. The Dark Knight
 52. The Code
 53. The Lonely Maiden
 54. Rendezvous With Rama
 55. The Human Factor
 56. The Last Full Measure

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

 • Academy Awards.
 • Crystal Globe award for.
 • Karlovy Vary International Film Festival.
 • Cairo International Film Festival.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. http://www.filmreference.com/film/24/Morgan-Freeman.html
 2. http://www.hellomagazine.com/profiles/morganfreeman/ Archived 2012-12-08 at Archive.today
 3. http://www.tiscali.co.uk/entertainment/film/biographies/morgan_freeman_biog/3 Archived 3 Aprili 2007 at the Wayback Machine.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Morgan Freeman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.