Nenda kwa yaliyomo

Tuzo za Akademi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Academy Awards)


Academy Awards
Tuzo hutolewa kwa ajili ya Kufanya vizuri katika filamu, mafanikio
Huwakilishwa na Academy of Motion Picture Arts and Sciences
Nchi Marekani
Tuzo ya kwanza 16 Mei 1929
Tovuti Rasmi Academy Awards

The Academy Awards (zinafahamika zaidi kama Oscars) huwakilishwa kila mwaka na kampuni ya Academy of Motion Picture Arts and Sciences (Kifupi: AMPAS) kwa lengo la kutambulisha taaluma ya tasnia ya filamu, wakiwemo waongozaji, waigizaji, na watunzi wa filamu.

Rasmi huwa sherehe za utoaji wa tuzo mbalimbali. Pia inasemekana kuwa ni miuongoni mwa sherehe mashughuli zaidi na inatizamwa sana duniani mara tu sherehe hizo zinapoanza.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tuzo za Akademi kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.