Tuzo za Akademi
Mandhari
Academy Awards | |
---|---|
Tuzo hutolewa kwa ajili ya | Kufanya vizuri katika filamu, mafanikio |
Huwakilishwa na | Academy of Motion Picture Arts and Sciences |
Nchi | Marekani |
Tuzo ya kwanza | 16 Mei 1929 |
Tovuti Rasmi | Academy Awards |
The Academy Awards (zinafahamika zaidi kama Oscars) huwakilishwa kila mwaka na kampuni ya Academy of Motion Picture Arts and Sciences (Kifupi: AMPAS) kwa lengo la kutambulisha taaluma ya tasnia ya filamu, wakiwemo waongozaji, waigizaji, na watunzi wa filamu.
Rasmi huwa sherehe za utoaji wa tuzo mbalimbali. Pia inasemekana kuwa ni miuongoni mwa sherehe mashughuli zaidi na inatizamwa sana duniani mara tu sherehe hizo zinapoanza.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Oscars.org (Tovuti Rasmi ya Oscars)
- Oscar.com (Tovuti Rasmi ya Sherehe za Oscars)
- The Academy Awards Database Ilihifadhiwa 13 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine. (Database ya Oscars)
- Picha za tuzo za Oscars Ilihifadhiwa 20 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tuzo za Akademi kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |