Internet Movie Database

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Nembo ya IMDb.

Internet Movie Database (IMDb) ni uhifadhidata mkondoni unauhusiana na habari za filamu, vipindi vya televisheni, waigizaji, vikundi cha watayarishaji wa masuala ya filamu n.k., video gemu, na hivi karibuni wameongeza habari za majina yanatumiwa na waigizaji kwenye filamu au TV. IMDb ilianzishwa mnamo tarehe 17 Oktoba 1990, na mwaka wa 1998 ikachukuliwa na Amazon.com.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]