Nenda kwa yaliyomo

Memphis, Tennessee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Memphis, Tennessee
Mahali pa Memphis katika Shelby County na Tennessee

Memphis ni mji wa Marekani katika jimbo la Tennessee. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.28 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 103 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Memphis, Tennessee kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.