1846
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1810 |
Miaka ya 1820 |
Miaka ya 1830 |
Miaka ya 1840
| Miaka ya 1850
| Miaka ya 1860
| Miaka ya 1870
| ►
◄◄ |
◄ |
1842 |
1843 |
1844 |
1845 |
1846
| 1847
| 1848
| 1849
| 1850
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1846 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 10 Februari - Wamormoni nchini Marekani wanaanza kuhamia kutoka sehemu za Illinois kuelekea Utah wakiongozwa na Brigham Young
- 14 Februari – Rais wa Marekani James K. Polk anatangaza utekaji wa Jamhuri ya Texas
- 25 Aprili - mapigano baina vikosi vya Marekani na Mexiko yanaanzisha vita ya Marekani na Mexiko itakayoendelea hadi Februari 1848
- 16 Juni - Uchaguzi wa Papa Pius IX
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
- 5 Januari - Rudolf Christoph Eucken (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1908)
- 30 Januari - Mtakatifu Anjela wa Msalaba, bikira kutoka Hispania
- 5 Mei - Henryk Sienkiewicz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1905)
- 12 Oktoba - Mtakatifu Arkanjelo Tadini, padri
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 21 Februari - Ninko, Mfalme Mkuu wa 120 wa Japani (1817-1846)
- 1 Juni - Papa Gregori XVI
- 16 Julai - Mtakatifu Maria Magdalena Postel, bikira na mwanzilishi nchini Ufaransa
- 31 Julai - Bernhard Heine, mgunduzi wa osteotomi kutoka Ujerumani
