Arkanjelo Tadini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Arcangelo Tadini (Verolanuova, Brescia, 12 Oktoba 1846 - Botticino Sera, 20 Mei 1912) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Italia.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza kuwa mwenye heri tarehe 3 Oktoba 1999, na Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 26 Aprili 2009.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Baada ya upadrisho alioupata mwaka 1870 alishughulikia matatizo ya wafanyakazi, na hatimaye alianzisha shirika la Masista Wafanyakazi wa Nyumba Takatifu ya Nazareti.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arkanjelo Tadini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.