Rudolf Christoph Eucken

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rudolf Eucken wakati wa uzee wake
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Rudolf Christoph Eucken (5 Januari 184614 Septemba 1926) alikuwa mwanafalsafa na mwandishi kutoka nchi ya Ujerumani. Alitafsiri vitabu vya Aristoteli na kuandika vitabu kuhusu maadili na dini. Mwaka wa 1908 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rudolf Christoph Eucken kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.