1856
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1820 |
Miaka ya 1830 |
Miaka ya 1840 |
Miaka ya 1850
| Miaka ya 1860
| Miaka ya 1870
| Miaka ya 1880
| ►
◄◄ |
◄ |
1852 |
1853 |
1854 |
1855 |
1856
| 1857
| 1858
| 1859
| 1860
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1856 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 9 Juni - Wamormoni 500 wanatoka mji wa Iowa City katika jimbo la Iowa na kuelekea magharibi kwenda mji wa Salt Lake City katika jimbo la Utah wakibeba mali zao zote kwenye mikokoteni.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 12 Januari - John Singer Sargent, mchoraji kutoka Marekani
- 15 Juni – Edward Channing (mwanahistoria wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1926)
- 10 Julai - Nikola Tesla, mwanafizikia kutoka Austria-Hungaria
- 26 Julai - George Bernard Shaw (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1925)
- 27 Septemba - Karl Peters (alianzisha koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani)
- 18 Desemba - Joseph John Thomson, mwanafizikia kutoka Uingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1906
- 22 Desemba - Frank Kellogg (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1929)
- 28 Desemba - Woodrow Wilson (Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1919)
bila tarehe
- Mtakatifu Andrea Kaggwa, mmojawapo wa Wafiadini wa Uganda
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 3 Mei - Adolphe Adam (mtungaji wa muziki Mfaransa)
- 29 Julai - Robert Schumann, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 24 Agosti - Mtakatifu Emilia wa Vialar, bikira wa Ufaransa
- 19 Oktoba - Said bin Sultani wa Maskat, Omani na Zanzibar
Wikimedia Commons ina media kuhusu: