Nenda kwa yaliyomo

John Singer Sargent

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sargent alivyojichora mwenyewe (1906)

John Singer Sargent (12 Januari 1856 - 22 Januari 1925) alikuwa mchoraji kutoka Marekani. Alizaliwa katika Italia na alikufa katika London, Uingereza. Yeye alisoma katika Chuo cha Sanaa Nzuri (École des Beaux-Arts) mjini Paris.

Mifano ya picha zake[hariri | hariri chanzo]


Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Singer Sargent kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.