22 Januari
Mandhari
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 22 Januari ni siku ya ishirini na mbili ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 343 (344 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 826 - Montoku, mfalme mkuu wa Japani (850-858)
- 1788 - George Byron, mshairi Mwingereza
- 1901 - Mtakatifu Alberto Hurtado, S.I., padre Mkatoliki kutoka Chile
- 1908 - Lev Landau, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1962
- 1936 - Alan Heeger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2000
- 1949 - Joseph Hill, mwimbaji kutoka Jamaika
- 1977 - Hidetoshi Nakata, mchezaji wa mpira kutoka Japani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1850 - Mtakatifu Vinsenti Pallotti, padre Mkatoliki kutoka Italia
- 1901 - Malkia Viktoria wa Uingereza (1837-1901)
- 1919 - Carl Larsson, mchoraji kutoka Uswidi
- 1922 - Papa Benedikt XV
- 1922 - Fredrik Bajer, mwanasiasa wa Udani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908
- 1925 - John Singer Sargent, mchoraji kutoka Marekani
- 1927 - James Ford Rhodes, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1957 - Ralph Barton Perry, mwandishi na mwanafalsafa kutoka Marekani
- 1973 - Lyndon B. Johnson, Rais wa Marekani (1963-1969)
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Vincent shemasi, Valeri wa Zaragoza, Gaudensi wa Novara, Anastasi wa Persia na wenzake, Bernardo wa Vienne, Dominiko wa Sora, Fransisko Gil, Mathayo Alonzo, Vinsenti Pallotti n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 22 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |