Alan Heeger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alan Heeger

Alan Jay Heeger (amezaliwa 22 Januari 1936) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sifa za polimeri. Mwaka wa 2000, pamoja na Alan MacDiarmid na Hideki Shirakawa alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alan Heeger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.