23 Januari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Des - Januari - Feb
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori


Matukio[hariri | hariri chanzo]

  • 1556 - tetemeko la ardhi katika eneo la Shaanxi nchini Uchina wakati wa utawala wa Jiajing; asilimia 60 za wakaazi wa Shaanxi walifariki; jumla ya waliopoteza maisha ni watu takriban 830,000
  • 1973 - Agano la Amani la kusitisha Vita ya Vietnam lilitiwa sahihi mjini Paris; hata hivyo mapigano yakaendelea hadi 1975

Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki[hariri | hariri chanzo]