1963
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| ►
◄◄ |
◄ |
1959 |
1960 |
1961 |
1962 |
1963
| 1964
| 1965
| 1966
| 1967
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1963 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 25 Mei - Umoja wa Muungano wa Afrika (kwa Kiingereza: Organisation of African Union - OAU) unaundwa mjini Addis Abeba, Ethiopia
- 12 Desemba - Nchi ya Kenya inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
- 4 Januari - May-Britt Moser, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2014
- 17 Februari - Larry Whitney, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 27 Machi
- 24 Mei - Michael Chabon, mwandishi kutoka Marekani
- 9 Juni - Johnny Depp, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 27 Julai - Donnie Yen, mwigizaji filamu kutoka Uchina
- 1 Agosti - Coolio, mwanamuziki kutoka Marekani
- 9 Agosti - Whitney Houston, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 25 Septemba - Tate Donovan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 25 Septemba - Keely Shaye Smith, mwandishi wa habari kutoka Marekani, na mke wa Pierce Brosnan
- 11 Desemba - Mario Been, kocha wa mpira wa miguu kutoka Uholanzi
- 13 Desemba - Yono Stanley Jilaoneka Kevela, mwanasiasa wa Tanzania
- 23 Desemba - Donna Tartt, mwandishi kutoka Marekani
bila tarehe
- Khadija Kopa, mwanamuziki kutoka Zanzibar
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 29 Januari - Robert Frost, mshairi kutoka Marekani
- 4 Februari - Fred Albert Shannon, mwanahistoria kutoka Marekani
- 11 Februari - Sylvia Plath, mshairi wa Marekani
- 4 Machi - William Carlos Williams, mwandishi wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1963
- 2 Mei - Van Wyck Brooks, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1 Agosti – Theodore Roethke, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1954
- 2 Agosti - Oliver La Farge, mwandishi kutoka Marekani
- 11 Oktoba - Édith Piaf, mwimbaji wa kike kutoka Ufaransa
- 22 Novemba - John F. Kennedy, Rais wa Marekani, aliuawa.
