9 Agosti
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 9 Agosti ni siku ya 221 ya mwaka (ya 222 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 144.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1471 - Uchaguzi wa Papa Sixtus IV
- 1945 - Bomu la nyuklia la pili katika historia linatupwa juu ya mji wa Nagasaki (Japani)
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1911 - William Fowler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1983
- 1939 - Romano Prodi, mwanasiasa kutoka Italia
- 1963 - Whitney Houston, mwimbaji na mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1976 - Rhona Mitra, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 117 - Traian, Kaisari wa Dola la Roma (98-117)
- 1048 - Papa Damaso II
- 1107 - Horikawa, mfalme mkuu wa Japani (1087-1107)
- 1918 - Mtakatifu Mariana wa Molokai, bikira Mfransisko nchini Marekani
- 1942 - Mtakatifu Edith Stein (Teresa Benedikta wa Msalaba), bikira mwanafalsafa Myahudi, halafu mmonaki Mkarmeli mfiadini kutoka Ujerumani
- 1962 - Hermann Hesse, mwandishi Mjerumani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1946
- 1969 - Cecil Frank Powell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1950
- 1978 - James Gould Cozzens, mwandishi kutoka Marekani
- 1991 - Mwenye heri Michał Tomaszek, O.F.M.Conv., padri mfiadini kutoka Poland aliyeuawa nchini Peru
- 1991 - Mwenye heri Zbigniew Strzałkowski, O.F.M.Conv., padri mfiadini kutoka Poland aliyeuawa nchini Peru
- 1996 - May Ayim, mwandishi Mwafrika kutoka Ujerumani alijiua
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Teresa Benedikta wa Msalaba, Romano wa Roma, Wafiadini wa Mlango wa Shaba, Kandida Maria wa Yesu n.k.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 9 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |