Mariana wa Molokai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Marianne Cope muda mfupi kabla hajahamia visiwa wa Hawaii (1883).

Mariana wa Molokai au Marianne Cope, jina la awali kwa Kijerumani likiwa Maria Anna Barbara Koob (Heppenheim, Hesse, 23 Januari 1838 - Kalaupapa, Hawaii, leo nchini Marekani, 9 Agosti 1918) alikuwa mtawa wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.

Alipata umaarufu kwa kuhudumia wakoma hadi kifo chake.

Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 14 Mei 2005 na mtakatifu tarehe 21 Oktoba 2012.

Mama Marianne Cope karibu na jeneza la Damiano wa Molokai.
Mama Marianne Cope (katika baiskeli) siku chache kabla hajafariki dunia.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mariana wa Molokai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.