Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Mandhari
Orodha ya Watakatifu Wafransisko ifuatayo inaripoti majina ya Wafransisko wote waliotangazwa watakatifu, sifa zao pamoja na miaka ya kuzaliwa na kufa kwao na tarehe za kuadhimishwa na Kanisa Katoliki.
Wameorodheshwa kufuatana na utawa na mwaka ya kuzaliwa, isipokuwa mwanzilishi aliyepewa nafasi ya kwanza.
Alama ya ulizo inaonyesha wasiwasi kuhusu mtakatifu fulani kujiunga na utawa au kuhusu mwaka wa kuzaliwa au kufa.
Katika liturujia wanaadhimishwa pia pamoja tarehe 29 Novemba, siku ya Kanuni kuthibitishwa na Papa Honorius III.
Utawa wa Kwanza
[hariri | hariri chanzo]- Fransisko wa Asizi, shemasi (+1226) 4 Oktoba
- Berardo wa Carbio, padri mfiadini (+1220) 16 Januari
- Petro wa San Gemini, padri mfiadini (+1220) 16 Januari
- Akusyo, mfiadini (+1220) 16 Januari
- Adyuto, mfiadini (+1220) 16 Januari
- Oto, padri mfiadini (+1220) 16 Januari
- Danieli Fasanella, padri mfiadini (+1227) 10 Oktoba
- Anyelo, padri mfiadini (+1227) 10 Oktoba
- Samweli Iannitelli, padri mfiadini (+1227) 10 Oktoba
- Domino Rinaldi, mfiadini (+1227) 10 Oktoba
- Leo Somma, padri mfiadini (+1227) 10 Oktoba
- Ugolino wa Cerisano, padri mfiadini (+1227) 10 Oktoba
- Nikola wa Sassoferrato, padri mfiadini (+1227) 10 Oktoba
- Antoni wa Padua, padri mwalimu wa kanisa (+1231) 13 Juni
- Bonaventura wa Bagnoregio, askofu mwalimu wa kanisa (+1274) 15 Julai
- ? Benvenuto Scotivoli, askofu (+1282) 22 Machi
- Ludoviko wa Anjou, askofu (+1297) 19 Julai
- Nikola Tavelic, padri mfiadini (+1391) 14 Novemba
- Deodato Aribert, padri mfiadini (+1391) 14 Novemba
- Petro wa Narbona, padri mfiadini (+1391) 14 Novemba
- Stefano wa Cuneo, padri mfiadini (+1391) 14 Novemba
- Bernardino wa Siena, padri (+1444) 20 Mei
- Petro Regalado, padri (+1456) 30 Machi
- Yohane wa Capestrano, padri (+1456) 23 Oktoba
- Diego wa Alcalà (+1463) 12 Novemba
- Yakobo wa Marka, padri (+1476) 28 Novemba
- Simoni wa Lipnica, padri (+1482) 18 Julai
- Yohane wa Dukla, padri (+1484) 29 Novemba
- Petro wa Alcantara, padri (+1562) 18 Oktoba
- Salvatore wa Horta (+1567) 18 Machi
- Nikola Pieck, padri mfiadini (+1572) 9 Julai
- Jeromu wa Weert, padri mfiadini (+1572) 9 Julai
- Teodoriko van der Eem, padri mfiadini (+1572) 9 Julai
- Nikasi wa Heeze, padri mfiadini (+1572) 9 Julai
- Wilehadi wa Udani, padri mfiadini (+1572) 9 Julai
- Godefrid wa Melveren, padri mfiadini (+1572) 9 Julai
- Antoni wa Weert, padri mfiadini (+1572) 9 Julai
- Antoni wa Hoornaert, padri mfiadini (+1572) 9 Julai
- Fransisko wa Roye, padri mfiadini (+1572) 9 Julai
- Petro wa Assche, mfiadini (+1572) 9 Julai
- Korneli wa Wijk, padri mfiadini (+1572) 9 Julai
- Feliche wa Cantalice (+1587) 18 Mei
- Yohane Jones, padri mfiadini (+1588) 12 Julai
- Benedikto Mwafrika (+1589) 4 Aprili
- Paskali Baylòn (+1592) 17 Mei
- Petro Baptista Blàsquez, padri mfiadini (+1597) 6 Februari
- Martino wa Kupaa, padri mfiadini (+1597) 6 Februari
- Fransisko Blanco, padri mfiadini (+1597) 6 Februari
- Fransisko wa Mt. Mikaeli, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Gonzalo Garcìa, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Filipo wa Yesu, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Serafino wa Montegranaro (+1604) 12 Oktoba
- Fransisko Solano, padri (+1610) 14 Julai
- Yosefu wa Leonessa, padri (+1612) 4 Februari
- Laurenti wa Brindisi, padri mwalimu wa Kanisa (+1619) 21 Julai
- Fidelis wa Sigmaringen, padri mfiadini (+1622) 24 Aprili
- Umile wa Bisignano (+1637) 26 Novemba
- Yosefu wa Copertino, padri (+1663) 18 Septemba
- Bernardo wa Corleone (+1667) 12 Januari
- Karolo wa Sezze (+1670) 6 Januari
- Yohane Wall, padri mfiadini (+1679) 22 Agosti
- Pasifiko wa Sanseverino, padri (+1721) 24 Septemba
- Tomaso wa Cori, padri (+1729) 11 Januari
- Yohane Yosefu wa Msalaba, padri (+1734) 5 Machi
- Anjelo wa Acri, padri (+1739) 30 Oktoba
- Teofilo wa Corte, padri (+1740) 19 Mei
- Fransisko Antoni Fasani, padri (+1742) 29 Novemba
- Krispino wa Viterbo (+1750) 19 Mei
- Leonardo wa Portomaurizio, padri (+1751) 26 Novemba
- Ignasi wa Santhià, padri (+1770) 22 Septemba
- Ignasi wa Laconi (+1781) 11 Mei
- Junipero Serra, padri (+1784) 1 Julai
- Feliche wa Nicosia (+1787) 31 Mei
- Ejidi wa Mt. Yosefu (+1812) 7 Februari
- Yohane wa Triora, padri mfiadini (+1816) 7 Februari
- Antoni wa Mt. Ana, padri (+1822) 23 Desemba
- Fransisko Maria wa Camporosso (+1866) 17 Septemba
- Ludoviko wa Casoria, padri (+1885) 30 Machi
- Konradi wa Parzham (+1894) 21 Aprili
- Gregori Grassi, askofu mfiadini (+1900) 9 Julai
- Francesco Fogolla, askofu mfiadini (+1900) 9 Julai
- Antonino Fantosati, askofu mfiadini (+1900) 9 Julai
- Elia Facchini, padri mfiadini (+1900) 9 Julai
- Teodoriko Balat, padri mfiadini (+1900) 9 Julai
- Andrea Bauer, mfiadini (+1900) 9 Julai
- Yosefu Maria Gambaro, padri mfiadini (+1900) 9 Julai
- Sesidi Giacomantonio, padri mfiadini (+1900) 9 Julai
- Maksimiliani Maria Kolbe, padri mfiadini (+1941) 14 Agosti
- Leopoldo Mandic, padri (+1942) 30 Julai
- Pio wa Pietrelcina, padri (+1968) 23 Septemba
Utawa wa Pili
[hariri | hariri chanzo]- Klara wa Asizi, bikira (+1253) 11 Agosti
- Agnesi wa Asizi, bikira (+1253) 16 Novemba
- Agnesi wa Praha, bikira (+1282) 6 Machi
- Kinga wa Hungaria, bikira (+1292) 24 Julai
- Koleta Boylet, bikira (+1447) 6 Machi
- Katerina wa Bologna, bikira (+1463) 9 Machi
- Eustokia Calafato, bikira (+1485) 20 Januari
- Batista Varano, bikira (+1524) 31 Mei
- Veronika Giuliani, bikira (+1727) 9 Julai
Utawa wa Tatu - Waregulari
[hariri | hariri chanzo]- Elizabeti wa Hungaria, mjane (+1231) 17 Novemba
- Verdiana wa Castelfiorentino, bikira (+1242) 1 Februari
- Margerita wa Cortona (+1297) 22 Februari
- Klara wa Montefalco, bikira (+1308) 17 Agosti
- Anjela wa Foligno, mjane (+1309) 4 Januari
- Elizabeti wa Ureno, mjane (+1336) 4 Julai
- Yasinta Marescotti, bikira (+1640) 30 Januari
- Petro wa Betancur (+1667) 25 Aprili
- Maria Kresensya Hoess, bikira (+1744) 5 Aprili
- Maria Fransiska wa Madonda Matano, bikira (+1791) 6 Oktoba
- Maria Ermelina wa Yesu, bikira mfiadini (+1900) 9 Julai
- Maria wa Amani, bikira mfiadini (+1900) 9 Julai
- Maria Klara Nanetti, bikira mfiadini (+1900) 9 Julai
- Maria wa Mt. Natalia, bikira mfiadini (+1900) 9 Julai
- Maria wa Mt. Yusto, bikira mfiadini (+1900) 9 Julai
- Maria Amandina wa Moyo Mtakatifu, bikira mfiadini (+1900) 9 Julai
- Maria Adolfina Dierk, bikira mfiadini (+1900) 9 Julai
- Maria Fransiska wa Yesu, bikira (+1904) 6 Agosti
- Alberti Chmielowski (+1916) 25 Desemba
- Mariana Cope, bikira (+1918) 23 Januari
- Maria wa Yesu Santocanale, bikira (+1923) 27 Mei
- Maria Bernarda Buetler, bikira (+1924) 19 Mei
- Maria Alfonsa Matathupadathu, bikira (+1946) 28 Julai
- Dulse Pontes, bikira (+1992) 13 Agosti
Utawa wa Tatu - Wasekulari
[hariri | hariri chanzo]- ? Ferdinando III wa Castilla (+1252) 30 Mei
- ? Ludoviko IX wa Ufaransa (+1270) 25 Agosti
- ? Ivo wa Bretagne (+1303) 19 Mei
- Elzeari wa Sabran (+1323) 27 Septemba
- Konradi Confalonieri (+1351) 19 Februari
- Brigita wa Uswidi (+1373) 23 Julai
- ? Roko wa Montpellier (+ 1379 hivi) 16 Agosti
- ? Katerina wa Genoa (+1510) 15 Septemba
- ? Thomas More, mfiadini (+1535) 25 Juni
- Anjela Merichi, bikira (+1540) 27 Januari
- Gaetano wa Thiene, padri (+1547) 7 Agosti
- Ignasi wa Loyola, padri (+1556) 31 Julai
- ? Karolo Borromeo, askofu (+1584) 4 Novemba
- Filipo Neri, padri (+1595) 26 Mei
- Paulo Suzuki, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Gabrieli wa Ize, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Yohane Kinuya, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Tomaso Danki, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Fransisko wa Meako, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Tomaso Kozaki, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Yohakimu Sakakibara, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Bonaventura wa Meako, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Leo Karasuma, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Matia wa Meako, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Antoni wa Nagasaki, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Ludoviko Ibaraki, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Paulo Ibaraki, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Mikaeli Kozaki, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Petro Sukejiro, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Kosma Takeya, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Fransisko Adauktus, mfiadini (+1597) 6 Februari
- Kamili wa Lellis, padri (+1614) 14 Julai
- Yoana Fransiska wa Chantal (+1641) 12 Agosti
- Mariana wa Yesu, bikira (+1645) 26 Mei
- Yosefu Oriol, padri (+1702) 23 Machi
- Yosefu Benedikto Cottolengo, padri (+1842) 30 Aprili
- Maria Magdalena Postel, bikira (+1846) 16 Julai
- Vinsensya Gerosa, bikira (+1847) 28 Juni
- Vinsenti Pallotti, padri (+1850) 22 Januari
- Mikaeli Garicoits, padri (+1853) 13 Mei
- Emilia wa Vialar, bikira (+1856) 24 Agosti
- Yohane Maria Vianney, padri (+1859) 4 Agosti
- ? Yosefu Cafasso, padri (+1860) 23 Juni
- Zelia Guerin (+1877) (12 Julai)
- Magret Bays, bikira (+1879) (27 Juni)
- Maria Yosefa Rossello, bikira (+1880) 7 Desemba
- Yohane Bosco, padri (+1888) 31 Januari
- Louis Martin (+1894) (12 Julai)
- Yohane Zhang Huan, mfiadini (+1900) 9 Julai
- Patrisi Dong Bodi, mfiadini (+1900) 9 Julai
- Yohane Wang Rui, mfiadini (+1900) 9 Julai
- Filipo Zhang Zhihe, mfiadini (+1900) 9 Julai
- Yohane Zhang Jingguang, mfiadini (+1900) 9 Julai
- Tomaso Shen Jihe, mfiadini (+1900) 9 Julai
- Simoni Chen Ximan, mfiadini (+1900) 9 Julai
- Petro Zhang Banniu, mfiadini (+1900) 9 Julai
- Fransisko Zhang Rong, mfiadini (+1900) 9 Julai
- Matia Feng De, mfiadini (+1900) 9 Julai
- Petro Wu Anpeng, mfiadini (+1900) 9 Julai
- Arkanjelo Tadini, padri (+1912) 20 Mei
- Pius X, papa (+1914) 21 Agosti
- Luigi Guanella, padri (+1915) 24 Oktoba
- Fransiska Saveria Cabrini, bikira (+1917) 22 Desemba
- Rikardo Pampuri (+1930) 1 Mei
- Anjela wa Msalaba, bikira (+1932) 2 Machi
- Nazaria Ignasya, bikira (+1943) 6 Julai
- Maria wa Yesu Ekaristi, bikira (+1959) 30 Juni
- Yohane XXIII, papa (+1963) 11 Oktoba