Nenda kwa yaliyomo

1781

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Makala hii inahusu mwaka 1781 BK (Baada ya Kristo).

  • 13 Machi - Sayari ya Uranus imegunduliwa na William Herschel.
  • 4 Septemba - walowezi 44 waunda kijiji cha Los Angeles (jina kamili: El Pueblo de Nuestra Señora la Reina de los Ángeles de Portiuncula) ambayo leo hii ni ni mji mkubwa wa ili wa Marekani.
  • 19 Oktoba - Wanajeshi wa Uingereza wajisalimisha mjini Yorktown (Virginia) baada ya kushindwa na Wamarekani wanaosaidiwa na Wafaransa katika mapigano makubwa ya mwisho wa vita ya uhuru ya Marekani.

Waliozaliwa

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka 2025 katika kalenda nyingine
Kalenda ya Gregori 2025
MMXXV
Kalenda ya Kiyahudi 5785 – 5786
Ab urbe condita (Roma ya Kale) 2778
Kalenda ya Ethiopia 2017 – 2018
Kalenda ya Kiarmenia 1474
ԹՎ ՌՆՀԴ
Kalenda ya Kiislamu 1447 – 1448
Kalenda ya Kiajemi 1403 – 1404
Kalenda za Kihindu
- Vikram Samvat 2080 – 2081
- Shaka Samvat 1947 – 1948
- Kali Yuga 5126 – 5127
Kalenda ya Kichina 4721 – 4722
甲辰 – 乙巳

Waliofariki

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: