Ignas wa Laconi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sanamu yake iliyosimamishwa katikati ya Laconi.
Kanisa la Laconi alipopokea sakramenti za kuingizwa katika Ukristo.

Ignas wa Laconi, O.F.M. Cap. ni jina la kitawa la Vincenzo Peis (1701 - 11 Mei 1781) alikuwa bruda ombaomba wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka kijiji cha Laconi, mkoani Sardinia, (leo nchini Italia).

Alitangazwa na Papa Pius XII kuwa mwenye heri mwaka 1940, halafu mtakatifu mwaka 1951.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ignas wa Laconi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.