Nenda kwa yaliyomo

Jina la kitawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina la kitawa ni lile ambalo mtu anapewa wakati kwa kujiunga na utawa ili kudokeza kwamba anataka kuwa mtu mpya.

Hiyo ilikuwa desturi ya mashirika mbalimbali ya Kikristo, ila kwa sasa imepungua sana kwa sababu mengi yanapenda kusisitiza ubatizo, kwamba ndio nafasi ya kufanywa na Mungu mwenyewe mtu mpya kwa kuungana na Yesu Kristo.

Pia wengi wanaona usumbufu wa kutumia majina tofautitofauti katika jamii, katika Kanisa n.k.

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jina la kitawa kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.