Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya Watakatifu wa Afrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yosefina Bakhita kutoka Darfur, Sudan ya leo.

Hii Orodha ya Watakatifu wa Afrika inataja watu wanaoheshimiwa na Kanisa Katoliki au madhehebu mengine yoyote ya Ukristo kama watakatifu ambao walizaliwa, waliishi au walifariki barani humo (katika mabano mara nyingi inatajwa nchi ya leo).

Kabla ya Uislamu[hariri | hariri chanzo]

Katika karne sita za kwanza za Kanisa, Afrika ililizalia watakatifu na viongozi wake wengi, bila kushindwa na dhuluma za Dola la Roma zilizoenea kote, Farakano la Donato na dhuluma ya Wavandali upande wa Ukristo wa Magharibi, farakano la Wakopti upande wa Ukristo wa Mashariki (lililofuata Mtaguso wa Kalsedonia, 451).

Watu wa Biblia[hariri | hariri chanzo]

Mapapa wa Roma[hariri | hariri chanzo]

Kati ya Mapapa wa Roma wa karne za kwanza watatu walizaliwa Afrika au Roma na wazazi kutoka Afrika. Wote hao wanaheshimiwa kama watakatifu:

Walimu wa Kanisa[hariri | hariri chanzo]

Kati ya walimu wa Kanisa, watatu walitokea Afrika:

Wengine waliosomea Afrika ni:

Waandishi na wanateolojia[hariri | hariri chanzo]

Waandishi na wanateolojia wengi walitokea Afrika au waliishi huko, kama vile watakatifu:

Wengineo[hariri | hariri chanzo]

Karne za Kati[hariri | hariri chanzo]

Baada ya Waarabu kuteka Afrika Kaskazini yote (karne ya 7), Kanisa Katoliki karibu lilitoweka barani humo. Walibaki zaidi Wakristo wa Kikopti kuanzia Misri hadi Ethiopia, wakiwa na wamonaki wengi sana. Kati ya watakatifu waliowahi kuishi au kufika Afrika katika karne za kati maarufu zaidi ni:

Nyakati zetu[hariri | hariri chanzo]

Kati ya walioishi baadaye kuna (miaka na nchi ya Afrika alipoishi):

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

  • "Hagiography Circle"
  • O'Malley, Vincent J. (2001). Saints wa Africa. Our Sunday Visitor. ISBN 0-87973-373-X.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya Watakatifu wa Afrika kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.