Nenda kwa yaliyomo

Gerasimo wa Yordani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu inayomuonyesha akimfuga simba[1].

Gerasimo wa Yordani (Lycia, leo nchini Uturuki[2][3] - alifariki 475) ambaye, baada ya kwenda Misri kwa mababu wa jangwani, aliishi kama mkaapweke nchini Palestina karibu na mto Yordani, akapata wafuasi wengi na kuwa abati wao wakati wa kaisari Zeno.

Alikuwa amerudishwa kwenye imani sahihi na Eutimi, na kufanya toba sana, akawa kielelezo kamili cha nidhamu na maisha kwa jumla .[4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Machi[5][6] au 4 Machi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. St. Gerasimus, The Society of Clerks Secular of Saint Basil, The Orthodox Catholic Church of the Americas, Holy Inocents Orthodox Church BBS.
  2. Saint Gerasimus, from the Russian Lives of the Saints based on the Menologion of St. Dimitry of Rostov, Orthodox Church in America.
  3. Gerasimus near the Jordan, A. Mertens, "Who was a Christian in the Holy Land?" - Encyclopedia, Studium Biblicum Franciscanum, Jerusalem
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92494
  5. Martyrologium Romanum
  6. Saint Gerasimus, Patron Saints Index, Star Quest Production Network

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.