4 Machi
Jump to navigation
Jump to search
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Machi ni siku ya 63 ya mwaka (ya 64 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 302.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1678 - Antonio Vivaldi, mtunzi wa muziki kutoka Italia
- 1881 - Thomas Sigismund Stribling, mwandishi kutoka Marekani
- 1932 - Miriam Makeba, mwanamuziki kutoka Afrika Kusini
- 1949 - Hans van der Pluijm, meneja wa Yanga Sc nchini Tanzania
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1484 - Kasimir Mtakatifu, mwana mfalme wa Poland
- 1952 - Charles Sherrington, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1932
- 1963 - William Carlos Williams, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1963
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kasimiri, Fosyo, Arkelao na wenzao, Yohane Antoni Farina n.k.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-16 at Archive.today
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |