Muziki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mchoro wa Ugiriki wa Kale juu ya chombo ukionyesha kipindi cha muziki (510 KK hivi).

Muziki ni aina ya sanaa inayotumia sauti mbalimbali: za kibinadamu na za ala za muziki, ama kwa pamoja au kila moja pekee.

Asili ya neno iko katika lugha ya Kigiriki ambamo huitwa μουσική (mousikee).

Baadhi ya sifa za muziki ni uzito wa sauti (pitch) na wizani au mahadhi (rhythm).

Aina ya muziki inayopatikana kote duniani ni nyimbo ambazo ni maneno yanayotolewa kwa sauti na mahadhi fulani mara nyingi pamoja na ala za muziki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • BBC Blast Music For 13- to 19-year-olds interested in learning about, making, performing and talking about music.


Makala haya yanaongelea ubora wa Ukelele kama ala ya muziki kwa watoto wanaopenda kujifunza na kucheza muziki. Ukelele ni ala ambayo imetengenezwa kwa nyuzi zinazotoa sauti mbalimbali. Ubora wake kwa watumiaji ni kuwa; sio ya gharama, ni nyepesi kubeba, inatoa sauti nyororo, ni nzuri kwa watumiaji wanaonza kujifunza na ni rahisi kutumia.

The Virginia Tech Multimedia Music Dictionary, with definitions, pronunciations, examples, quizzes and simulations

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.