Ellie Goulding

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Goulding katika Tamasha la Global Citizen 2017
Goulding katika Tamasha la Global Citizen 2017
Elena Jane Goulding (alizaliwa 30 Disemba 1986) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Uingereza.[hariri | hariri chanzo]

Kazi yake ilianza alipokutana na watayarishaji wa muziki Starsmith na Frankmusik, na baadaye akaonekana na Jamie Lillywhite, ambaye baadaye ndiye akawa meneja wake.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ellie Goulding kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.