Meneja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Meneja (kutoka neno la Kiingereza "manager") ni mtendaji anayewajibika kusimamia mambo yote kuhusu mapato na matumizi katika kampuni.

Kwa kawaida anakuwa ndiye mratibu wa shughuli zote katika kampuni chini ya uongozi wa juu.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Meneja kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.