Kinena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Nena)
Mchoro wa kinena la binadamu

Kinena ni sehemu ya mwili inayounganisha mapaja na fumbatio.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinena kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.