Baba Levo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makala hii inahusu mada au mtu asiyejulikana sana. Kuna mashaka kama mada inastahili kuwa na makala katika kamusi. Watumiaji wanaombwa kushiriki katika majadiliano kama makala hii inafaa kubaki au la. Tazama:Wikipedia:Umaarufu

Baba Levo
Amezaliwa Juni 5 1986 (1986-06-05) (umri 34)
Asili yake Kigoma Tanzania
Kazi yake Mwimbaji
Aina ya sauti "Tenor" ya tatu
Miaka ya kazi 2010 - Mpaka sasa
Studio BMG Record Label

Revokatus Kipando (maarufu kwa jina la kisanii kama Baba Levo; majina mengine ya kisanii ni Obd; alizaliwa Kigoma, 06 Juni 1986) ni msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania. Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania.