Wasanii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ngugi wa Thiong'o, mwandishi wa vitabu kutoka Kenya.

Wasanii ni wale watu wote wanaohusika na kazi inayojumuisha sanaa, kwa mfano: wachoraji, waimbaji, wahunzi n.k.

Kazi hiyo inadai ubunifu mkubwa kuliko kawaida, unaowawezesha kutambua mambo mbalimbali na kuyatengenezea mwangwi kwa ajili ya jamii.