Sanaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Sehemu ya La Gioconda, mchoro wa Leonardo da Vinci unaotunzwa huko Paris(Ufaransa)

Sanaa ni ufundi unaoutumia mwanadamu ili kuwasilisha fikra au mawazo yaliyo ndani ya akili yake. Vilevile sanaa ni uzuri unaojiibua katika umbo lililosanifiwa. Kusanifu ni kuumba, kufanya jambo au kitu kwa kutumia ufundi/ustadi ili kiweze kuvutia watu kwa uzuri wake. Mtu hueleza hisia zinazomgusa kwa kutumia umbo fulani ambalo limesanifiwa. Hivyo kazi yoyote ya sanaa inategemewa ioneshe ufundi wa hali ya juu ili iwe na mvuto kwa hadhira yake. Tunaweza kuona kazi ya sanaa kupitia uchoraji, utarizi, ususi, fasihi, na kadhalika. Kila umbo huwa na nyenzo zinazotumika katika kuliumba umbo hilo. Kwa mfano katika uchongaji kuna mti (gogo), panga, tezo, msasa, rangi, na kadhalika.

Aina za sanaa[hariri | hariri chanzo]

Hizi ni baadhi tu ya aina ya sanaa:

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

      . OCLC 237794267
      . http://www.econlib.org/library/Enc/Arts.html. – A look at how general economic principles govern the arts.
Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sanaa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.