Hadhira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fanani na Hadhira

Hadhira ni watu wanaotarajiwa kupokea ujumbe wa msanii kutoka kwa fanani katika kazi ya fasihi

Hadhira huweza kupokea ujumbe huo kwa kusikiliza, kuona au hata kuona pamoja na kusikiliza.

Ujumbe wa kusikiliza ni kama nyimbo.

Ujumbe wa kuona ni kama alama (zinazofanana na alama za barabarani).

Ujumbe wa kuona na kusikiliza ni kama sanaa za maonesho.

Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hadhira kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.